Anzisha ujuzi na utaalamu juu ya tabili za hali ya hewa
Muhtasari
Ingawa ni muhimu kuzielewa dhana vizuri, ikiwemo pia athari zinazoweza kusababishwa na mabadiliko ya tabia nchi duniani, ni muhimu zaidi pia kufahamu vyema hali ngazi ya taifa, kanda na ndani. Taarifa nyingi juu ya athari za mabadiliko ya tabia nchi zinapatikana kwenye mtandao. Vilevile, taasisi za utafiti, bodi za kahawa au jumuiya zinaweza kutoa taarifa au kusaidi kutafuta vyanzo vingine vya taarifa. Kunaweza pia kuwepo mashirika yanayojihusisha na utafiti wa mabadiliko ya tabia nchi tu, k.m. kwa ukusanyaji wa takwimu za hali ya hewa au kwa kwa makabiliano dhidi ya mabadiliko ya tabia nchi.
Maswali yafuatayo ya mwongozo pamoja na tovuti zinaweza kusaidia kujijengea ujuzi wako mwenyewe wa msingi juu ya mabadiliko ya tabia nchi.
utafiti wa mezani na kwenye mtandao
Mapitio ya vipengele na tafsiri maalum za tabili za hali ya hewa
uwelewa juu ya matokeo ya kipindi cha nyuma, hivi sasa na kutabili mabadiliko ya hali ya hewa kwa mipaka mbali mbali, na madhara yanayoweza kutokea
Nadharia
Maswali ya Mwongozo:
- Je, taarifa juu ya miendendo na utabiri wa hali ya hewa inapatikana kwa ukanda wako wa kahawa? Taarifa hizi zinatabiri nini?
- Nini athari za mabadiliko ya tabia nchi za hivi sasa kwa vipengele vya ulimwengu, taifa au ukanda (kama zinapatikana)?
- Je, zipo taasisi za utafiti zinazokusanya takwimu za hali ya hewa (joto, mvua, matukio ya hali y ahewa) kwa ukanda wako?
- Nani yuko karibu nawe anayefahamu zaidi juu ya mabadiliko ya tabia nchi na athari zake?
- Nani wahusika wa sasa wa makabiliano dhidi ya mabadiliko ya tabia nchi kwenye shirika lako, ukanda au nchi yako?
- Aina gani ya mafunzo yanayopatikana kwenye shirika lako?
- Ni kwa kiasi gani mada ya mabadiliko ya tabia nchi ina uhusiano na kazi yako? Wewe unaweza kuwa na jukumu lipi kwenye kutatua haya?
Orodha ya tovuti na vituo vya taarifa
Tovuti za Kahawa na Hali za Hewa (c&c): www.coffeeandclimate.org
coffee & climate toolbox: www.toolbox.coffee
Intergovernmental Panel on Climate Change: www.ipcc.ch/index.htm
World Bank Climate Change Knowledge Portal: sdwebx.worldbank.org/climateportal/
UNDP Country Specific Climate Change Profiles: country-profiles.geog.ox.ac.uk
Weather Tool: www.awhere.com/en-us/weather-details
CIAT International Center for Tropical Agriculture: ciat.cgiar.org/climate-change
Climate Change Information Centre CARE International: www.careclimatechange.org/
WWF World Wild Life: www.worldwildlife.org
UKCIP: www.ukcip.org.uk/
Tearfund: www.tearfund.org/en/about_you/ campaign/climatechange/