Rudi
D
Fanya utafiti mashambani
Muhtasari
Utakapotembelea mashamba ya kahawa, tafuta dalili za mabadiliko ya tabia nchi. Jedwali Na 1 linaonyesha baadhi ya athari zinazofahamika za mabadiliko ya tabia nchi kwa uzalishaji wa kahawa, na hizi ni sehemu nzuri ya kuanzia uchunguzi wako.
Mbinu
tembelea mashamba
Matokeo
Upembuzi wa awali wa mawazo na uzoefu juu ya madhara ya tabili za hali ya hewa katika eneo maalumu lakilimo cha kahawa
Nadharia
Angalia miti ya kahawa (majani, maua, matunda), miti ya kivuli, udongo, n.k. na jiulize yafuatayo:
- Je, kuna dalili za mmomonyoko wa ardhi?
- Unaona, matokeo ya umbo la mmea unaosababishwa na ukame, joto kali, n.k.?
- Kuna wadudu au magonjwa yoyote ambayo hujawahi kuyaona maeneo hayo?
- Je, kuna nini kuhusu maua ya kahawa? Unaona kudondoka kwake?
- Kuna uharibifu wowote wa mti kutokana na hali ya hewa iliyokithiri, kama mvua za mawe au upepo?
